Hili ni jengo la tatu kwa urefu Duniani, linaitwa SHANGHAI TOWER 🇨🇳
Urefu wake ni meters — 632 !!
Yaani, chukua uwanja wa soka wa meters (100) kisha usimamishe kwenda juu mara (6+) ndio urefu wa jengo hili 🙌
Jengo hili lina ghorofa kadhaa kwenda chini ya ardhi, lina decks | Ghorofa — 562
Haya ndiyo majengo marefu zaidi Duniani | Tallest Skyscrapers in the world ;
Burj Khalifa — 01
◉ 828 meters
◉ Dubai 🇦🇪
Malaysia-Merdeka — 02
◉ 676 meters
◉ Malaysia 🇲🇾
Shanghai Tower — 03
◉ 632 meters
◉ Shanghai China 🇨🇳
Makkah Clock Royal Tower — 4
◉ 601 meters
◉ Saudi Arabia 🇸🇦
𝙉𝙤𝙩𝙚 — Shanghai Tower ni jengo lenye ghorofa (Decks) nyingi zaidi Duniani, katika structure yake halina mnara juu kama Burj khalifa na Malaysia-Merdeka.
📌 Majengo yote manne yako Asia 🙌
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire