Alibaba

mercredi 17 juillet 2013

SERIKALII YA BONGO YATAKIWA KULIFUNGIA MAISHA KUNDI LA BAIKOKO! NA MAKUNDI YOTE YA AINA HII

Mmoja wa cheza show kama anavyoonekan akiwa akimchezea uchi mteja.
 
Mcheza show wa kundi la Bikoko akionesha manjonjo yake mbele ya wateja.
 
Laanakhum kama hii haikubariki Serikali inatakiwa kuyasambaratisha makundi kama haya ili kukomesha uposhwaji wa maadili ya mtanzania na kushawishi vitendo vya ngono.
 
 

Serikali ya Tanzania kupita wizara ya michezo utamaduni imeshauriwa kuyasambatisha makundi yote yanayojihusicha na kucheza uchi kwenye kumbi za burudani ili kukomesha hamasa  za ngono na udhalilishaji.

 Wakiongea na Xdeejayz baadhi ya wanchi waliyalalamikia makundi ya Khanga Moja " Laki Si pesa, Baikoko, Kitu Tigo K nyumbani kwako,Tako Camp lililopo Mwanyamala mchangaji watu hao walisema kushindwa kwa Serikali kuyazuia makundi hayo ni kuonesha udhaifu kwani yamekuwa yakidhalilisha heshima ya mwanamke wa Tanzania pamoja na kihamisha ngono.


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire