MWANAMKE ABAKWA NA KUCHOMEKWA MITI
Ikiwa
ni siku chache baada ya mwanamke mmoja mkazi wa kahama
kubabwa na kutobolewa macho huku akichomekwa kisu sehemu zake
za siri, mitandao ya kinigeria nayo imeripoti unyama kama
huo.....
Kwa
mujibu ya mitandao hiyo, unyama huo unadaiwa kutendwa kwa
binti wa miaka 23 ambaye alibakwa na kundi la wanaume na
kisha kumchomeka miti sehemu za siri na kumtoboa macho.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire