Diamond akifanya makamuzi sambamba na kundi lake.
DAR
Live usiku wa kuamkia leo ilitikisika baada ya mashabiki kujitokeza kwa
wingi kushuhudia onyesho la pamoja kati ya wanamuziki wawili nyota wa
kizazi kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na Ney wa Mitego ambao
walikuwa wakizindua video ya wimbo wao wa 'Muziki Gani'.
Wanamuziki hao kwa pamoja walitoa burudani ya nguvu ambayo ilizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika ukumbi huo wa maraha uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
Wanamuziki hao kwa pamoja walitoa burudani ya nguvu ambayo ilizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika katika ukumbi huo wa maraha uliopo Mbagala Zakhem, jijini Dar.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)