Google tag
mercredi 4 mars 2015
ALI KIBA ASEMA “CHEKECHA-CHEKETUA NI ZAIDI YA MWANA
Hit Maker wa Mwana ALI KIBA amesema kuwa ngoma yake Chekecha-Cheketua Itakuwa kali kuliko Mwana ambayo imefanya na Bado inafanya poa sana Afrika Mashariki.
Akipiga Stori na Kipindi cha DUNDO cha Mambo Jambo Radio Ali Kiba amepata kuyafunguka Hayo wakati akiwaweka sawa Mashabiki wake Maana halisi ya alichokiimba na kuwapanga Kuipokea Ngoma yake ambayo Inatoka Rasmi tar. LEO TAR. 27 February ambayo imefanywa Chini ya Studio za Chedaz Records na Producer Abby Daddy anaamini ni ngoma itayobamba zaidi kwani ana uhakika na mawe ambayo tayari ashayaweka kwenye manati tayari kwa ajili ya watu wake so mkae tayari.
Amesema Inatoka Audio kwanza then video itakuja soon..
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire