Abuchief.Com
UBUYU huu ukufikie popote ulipo wewe shabiki wa Robyn Rihanna
Fenty ‘Riahanna’ ama Aubrey Drake Graham ‘Drake’. Kwa miezi kdhaa,
kumekuwepo na tetesi kuwa Rihanna na Drake wnatoka kimahaba licha ya wao
kukanusha na kusema kuwa ni washkaji tu!
Uhusiano
waoulikole zaidi miezi michache iliyopita baada ya Rihanna
kumshilikisha Drake kwenye baadhi ya nyimbo za albamu yake mpya ya
AntiRihanna.
Ijumaa iliyopita, Drake alifanya sapraizi kwa kununua bango la
barabarani jijini Los Angeles na kuliandika maneno ya kumtakia kila la
kheri mpenzi wake Rihanna kwenye tuzo hizo za MTV Video Vanguard Award
zilizofanyika Jumapili usiku.
Alichokisema Drake sasa
“Kwa
mara ya kwanza nilikutana na Robyn Fenty mwaka,” alisema Drake,
akielezea video walioshuti pamoja. “Wimbo uliitwa Pon de Replay na
Director wa video hiyo aliikuwa Little X.
Nilitambulishwa kwake kama mtoto anayecheza background music kwenye migahawa wakati watu wakila chakula chao cha jioni.
Siyo rahisi kuamini kuwa miaka 11 baadaye sote watatu tumefanya kazi pamoja na kutengeneza wimbo wa Rihanna Work.”
“Na sasa Dunia inamfahamu Little X kama Director X, wananifahamu mimi
kama Drake na siyo yule mtoto aliyekuwa anatumbuiza kwenye migahawa.
Lkini miaka 11 baadaye wananendelea kumtambua Rihanna kama Rihanna
mwenyewe.”
“Ni mwanamke ambaye nimekuwa na uhusiano naye tangu nikiwa na umri wa miaka 22” alisema Drake.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire