Google wametangaza washindi 10 wa mwanzo wa tuzo za Sub-Saharan African YouTube [Awards].
Tuzo hizo zimekuwa zikifanyika kwenye mabara mengine tangu mwaka 2007 na zimekuwa zikiwapongeza watu wanaofanya vizuri kwenye Youtube. Jumla ya tuzo 24 zitatolewa ambapo zilizosalia zitatolewa leo, November 11.
Nominees walichaguliwa kutokana na idadi ya subscriber walionao.
Nchi zinashiriki kwenye tuzo za SSA ni Tanzania, Ghana, Uganda, South Africa, Zimbabwe, Kenya, Nigeria, na Senegal. Kuna channel zaidi ya 70 katika nchi za SSA ambazo zimefikisha zaidi ya subscribers, 100,000
Washindi 10 wa mwanzo ni:
Comic – Ramscomics / Supastrikas
Education – Retutpro – Photography and Photoshop Tutorials
Fitness – Six Pack Factory
Games – Slushy AJ
News and politics – Millard Ayo
Nonprofit – Jim Nduruchi
Pets and animals – Earth Touch
Top Subscribed Creator in Ghana – OfficialSarkodie
Top Subscribed Creator in Senegal – Prince Arts
Top Subscribed Creator in Tanzania –
Diamond Platnumz
Top Subscribed Creator in Zimbabwe – Mufti Menk
Top Subscribed Nollywood Channel – IbakaTV/Nollywood
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire