Habari kutoka kwa mchezaji wa zamani wa Team ya Taifa ya Ufaransa na Club ya Manchester United
*Éric Cantona* kutolea Taifa lake
Hawa ndio wahusika wa vurugu zinazo jiri nchini hapa ufaransa ( sarkozy, hollande na marine...)
Tokea kwa Jacques chirac ufaransa ilikuwa na umoja na urafiki katika inchi za ulimwengu wa kiarabu
Ufaransa ilikuwa ikijulikana kama taifa linalo peleka kipao mbele maelewano na Amani
Pindi Sarkozy alipofika yote kubadilika; rafiki wa jana kuwa aduwi leo mkaribu nae kuwa mshambuliaji; En Afghanistan, en Irak, en Libye, au Tchad, en Syrie kote huko tumeacha maafa eti tunaleta Amani (démocratie )
Tusijifanyi wajuwaji wakuhukum na kujaji yasio tuhusu; sisi sio wa kwanza na tusijifanyi kuwa mfano
Ukipanda mema utavuna mema, na ukipanda mabaya utavuna mabaya ndio kwa leo yanatukuta na kutokea watu kupiga taifa letu
Leo hii umaskini kuna watu umewatawala na wengine kuachishwa kazi uoga umetawala ndani ya myoyo ya wananchi kutokana na u terroriste unaokithiri
Tutengeneze nchi kwa kujali wananchi tuachane na siasa za wengine zisizo tuhusu
Nakumalizia :
Wanasiasa hawa hapo tayari kulinda maisha yetu bali politique yao ya vita ndii husababisha wa terroristes kuwa wengi
*Éric Cantona* by *Abuchief*