Utambulisho :
The Light of Peace (Nuuru Salaam)
Ni kikundi cha vijana kutota Tarafa ya Buyenzi jijini Bujumbura
Ambao kwa sasa wanafanya vizuri katika Fani la Dini kwa kuimba Kaswida
Ambao kwa sasa wana kubalika mtaani kwa Kazi nzuri wanazozifanya
Kujituma katika kitu ndio mafaniko ya malengo
afkiriavyo Maskini kwa kutengeneza Mtumbo bimaana alifkiria siku moja kupata Boti ya kukidhi haja zake
Vijana wenu wanawashkuru jwa support zenu kwakuwaonesha na kuwakubali
Allah atawalipa kila la Kheri
Kwa sasa kazi za kikundi hicho cha The Light of Peace (Nuuru Salaam) inaendeka vizuri