Google tag

jeudi 5 janvier 2017

FA kuitupilia mbali kadi nyenkundu ya West Ham

Chama cha Soka cha England FA kimeitupilia mbali kadi nyekundu aliyooneshwa kiungo wa West Ham Soufiane Feghouli kwenye mchezo dhidi ya Manchester United. West Ham wakicheza pungufu ya mchezaji mmoja kwa dakika 75 walipoteza mchezo huo 2-0. Mwamuzi Mike Dean aliomtoa Feghouli kwa madai ya kumchezea rafu Phil Jones wa Man Utd.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire