AY: Nilimshauri Mavoko kwenda WCB / Mtoto amenibadilisha (Exclusive)
Msanii mkongwe wa muziki wa hip Hop, AY amefunguka mambo mengi exclusive
ndani ya Bongo5 na kuzungumzia maisha yake ya ndoa, muziki pamoja na
mengine mengi kuhusu tasnia ya muziki wa BongoFleva.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire