Google tag

lundi 18 mars 2019

Tupac Shakur, Mashabiki wamuwashia moto “Kwa haya mafanikio yangu,nimefikia level za 2pac”

Rapper kutoka nchini Mrekani Clifford Joseph Harris Jr alimaarufu T.I. hakuna shaka kuwa ni mojawapo ya wasanii historia kubwa kwenye muziki wa trap hadi hivi sasa. Lakini je, kufanya kote vizuri huko amnaweza kuwa level moja na Tupac Shakur? kwa maoni yake kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweza kujilingalisha na ngumu huyu wa muziki wa Rap ambaye alifariki dunia Sept. 13, mwaka 1996. “ Najua hamtaki kuongea hiki kwamba mimi ni bora sana katika hiki ninachokifanya, najua hutokubali kubadilishwa ukubali ukatae” hivyo ndivyo alivyoandika baada ya kupost picha yake na kuweka maneno haya chini.


T.I akaendelea kusema maneno haya “Unapokwishamaliza kufanya buuuulshittin ‘ naomba nisaidie na Nifanyie jambo hili …. Nani tangu 2Pac afanye mambo mengi tofauti na kuleta tofauti nyingi katika muziki hasa katika muziki wa, biashara na fursa nyingine? Nitasubiri jibu lako” aliwauliza mashabiki zake swali hilo na mashabiki walianza kumuandama kwa maswali.






Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire