Accueil Manchester United na penalti Abuchief août 11, 2020 0 Mashetani wekundu, klabu ya Manchester United msimu huu wamepewa jumla ya penati 21 katika mashindano yote. Imekuwa ni klabu ya Kwanza katika ligi tano bora barani ulaya kupewa penati nyingi zaidi katika msimu mmoja. You Might Like
Enregistrer un commentaire