Asilimia 67 ya mashabiki wanaamini kwamba VAR imefanya mchezo wa soka upoteze ladha kwa kiasi kikubwa kwa mujibu wa YouGov poll.
Utafiti umefanyika umeonesha kwamba 2/3 ya mashabiki wametoa maoni yao kuhusu Tekinolojia hiyo ambayo imeanzishwa mwanzo wa msimu huu mashabiki hawajaikubali na wameipa alama ya 4/10
Kura zilivyo:-
✍🏼 67% wanasema VAR imefanya soka kupoteza ladha yake
✍🏼60% wanasema VAR ufanisi wake umekuwa mbovu
✍🏼8% wanasema VAR iendelee kutumika hivyo hivyo
✍🏼74% wanasema VAR iendelee kutumika lakini ibadilike inavyotumika
✍🏼15% wanataka VAR itolewa kabisa
NB : Hizo % ni kwa kila sehemu yake sio kiujumla wa kula, yani kila pendekezo moja lina asilimia zake : kwa mfano hao 15% wanaotaka iendelee ni wangapi wanaotaka iendelee : kwahiyo kama tupo 6 kati ya 6 wangapi wanataka iendelee lakini usiijumuishe na wale 67% wanaosema haina ladha zote zinanitegemea