Google tag

dimanche 3 avril 2022

Tuzo za muziki Tanzania 🏆

Tuzo za muziki Tanzania 🏆

Harmonize ameshinda tuzo tatu.
1. Msanii bora wa kiume wa mwaka.
2. Mtumbuizaji bora wa kiume wa mwaka.
3. 'Attitude' Collabo bora ya Africa.


Amesema kwa heshima ya kaka yake Diamond, anampa tuzo moja ili wote wawe na (2-2). Zingine amezi dedicate kwa Kajala !!


.
Ali Kiba ameshinda tuzo tano za mwaka !!l
1. Mwanamuziki bora Africa mashariki.
2. Msanii bora wa kiume chaguo la watu.
3. 'Only 1 king' Album bora ya mwaka.
4. 'Salute' Video bora ya mwaka.
5. Mtunzi bora wa melody.

.
Marioo ameshinda tuzo tatu.
1. Msanii bora wa kiume 'Bongo fleva'
2. 'Bia tamu' wimbo bora wa mwaka.
3. 'Loyalty' collabo bora ya mwaka.


Nandy ameshinda tuzo tatu
1. Msanii bora wa kike chaguo la watu.
2. Msanii bora wa kike 'Bongo fleva'
3. 'Loyalty' Collabo bora ya mwaka


.
Davido msanii bora Afrrica ya Magharibi.
Sho Madjoz msanii bora Africa kusini.
.
.
Sholo mwamba ameshinda tuzo tatu.
1. Msanii bora wa mwaka wa Singeli.
2. Wimbo bora wa mwaka wa asili.
3. Wimbo bora wa mwaka wa Singeli
.
.
Snura msanii bora wa kike 'Singeli'
.
.
Young Lunya ameshinda tuzo mbili
1. 'Mbuzi' Wimbo bora wa 'Hiphop'
2. Msanii bora wa mwaka wa 'Hiphop'


.
Baddest ameshinda tuzo mbili
1. Msanii bora wa Raggae & Dancehall
2. 'Unaota' Wimbo bora wa Dancehall


Chemical msanii bora wa kike 'Hiphop'
.
.
Rapcha msanii bora chipukizi.


.
S2Kizzy producer bora wa 'Hiphop'
Hanscana muandaaji bora wa Video
Mr T touches producer bora 'Bongo fleva'
.
.
Professor Jay mtunzi bora wa mwaka.



Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire