Kwenye mashindano ya Kombe la dunia yaliyofanyika mwaka 2002 Korea 🇰🇷/Japan 🇯🇵, kundi "F" lililokuwa na mataifa ya Argentina🇦🇷, Nigeria🇳🇬, England🏴 na Sweden🇸🇪 liliitwa kundi la kifo (Group of Death)
Matokeo yalikuwa hivi:-
🇦🇷Argentina 1-0 Nigeria 🇳🇬
🇦🇷 Argentina 0-1 England🏴
🇦🇷 Argentina 1-1 Sweden🇸🇪
Nigeria🇳🇬 0-1 Argentina 🇦🇷
Nigeria 🇳🇬 1-2 Sweden 🇸🇪
Nigeria 🇳🇬0-0 England🏴
🏴England 1-1 Sweden🇸🇪
🏴 England 1-0 Argentina 🇦🇷
🏴 England 0-0 Nigeria🇳🇬
🇸🇪Sweden1-1 England🏴
🇸🇪 Sweden 2-1 Nigeria 🇳🇬
🇸🇪 Sweden1-1 Argentina.🇦🇷
Sweden🇸🇪 na England 🏴 zikafuzu kuingia hatua ya 16 bora zote zikiwa na alama 5 na tofauti ya goli 1 ya kufunga na kufungwa.
🇦🇷Argentina ilimaliza nafasi ya 3 ikiwa na alama 4 na tofauti ya magoli ya kufungwa na kufunga 0. 🇳🇬 Nigeria wakawa wa mwisho kwenye kundi kwa alama 1 huku wakiwa wanadaiwa magoli -2
🔸Ushindi mkubwa Kwenye hili Kundi ni wa Sweden 🇸🇪2-1 Nigeria 🇳🇬. Maana halisi ya Kundi la kifo😒
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire