Accueil Mtu mzima mwenye umri mkubwa Duniani mai 20, 2022 0 Johanna Mazibuko kutokea Afrika Kusini kwa sasa anatwaja ndiyo binadamu mzee zaidi Duniani akiwa na umri wa miaka 128.Katika siku yake ya kuzaliwa Johanna alionesha cheti chake cha kuzaliwa ambacho kinaonesha alizaliwa tarehe 11 May mwaka 1894. You Might Like
Enregistrer un commentaire