Maajabu hayataisha,
mchungaji wa kanisa la Penteke aliwashangaza wafuasi wake baada ya kuwataka wanandoa kutengeneza mazingira flani wakati wa ibada.
Kulingana na ripoti wanandoa hao tangu walipofunga ndoa mke huyo hakuweza kupata ujauzito licha ya majaribio kadhaa.
Baada ya kuwashirikisha watu mbalimbali ili kuwasaidia tatizo lao na hakuna lililotokea , wapenzi hao waliamua kumtembelea mtu wa Mungu kwa ajili ya maombi.
Ibada ilipokuwa ikiendelea, mtu wa Mungu aliwaalika wanandoa hao kwenye mimbari na kuwataka wafanye mapenzi ( Sex ) mbele ya kusanyiko lote.
Kulingana na pasta walipokuwa wakifanya mapenzi wawili hao, watu wengine wa kanisa walikuwa wakiwaombea.
Haijulikani sasa ikiwa kweli mke alipata mimba baada ya kufanya tendo hilo kanisani ao laa.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire