Google tag
jeudi 15 décembre 2022
samedi 3 décembre 2022
Brazil vs Cameroun Qatar 2022
.... Cameroon 🇨🇲 imekuwa timu ya kwanza kutoka Africa kuifunga Brazil kwenye tournament kubwa 🔥
Full 🕡 Cameroon 🇨🇲 1 - 0 🇧🇷 Brazil
90' + 2 🕡 Vicent Aboubakar ⚽
90' + 3 🕡 Vicent Aboubakar red card ♦️
😆 Aboubakar alipofunga goli akajisahau kama tayari ana kadi ya njano, akavua jezi, mwamuzi akampa kadi ya pili ya njano, akala umeme ♦️... Kisha Mwamuzi na Aboubakar wakapeana mikono 🤝 Fair play ♥️
⭕ Vicent Aboubakar ndiye mchezaji pekee mpaka sasa aliyeifunga Brazil kwenye michuano hii ya World cup 2022 🔥
⭕ Katika hatua ya makundi kwenye world cup 2022 🇶🇦 hakuna timu iliyoshinda mechi zote tatu. Hakuna timu yenye points (9) ! 😮
⭕ Aboubakar amekuwa mchezaji wa pili kufunga goli na kuoneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo mmoja wa kombe la Dunia tangu 2006 alipofanya hivyo Zinedine Zidane.
Timu zilizofuzu kutoka mabara tofauti.
08 - Europe
02 - South America
02 - Africa
02 - Asia
01 - North America
01 - Australia
00 - Antarctica
NB : Mabara yote (6) ambayo wanaishi binadamu yameingiza timu kwenye 16 bora World cup 2022 Qatar 🇶🇦 🙌
Inscription à :
Articles (Atom)