Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty ambaye alifika katika ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour leo tarehe 21 Aprili, 2022.