Upekee wa uwanja huo pamoja na mambo mengine ni kwamba baada ya Fainali za Kombe la Dunia 2022 utabomolewa na vifaa vyake kutolewa msaada kwa nchi zinazoendelea.
Uwanja huo umepewa jina la 974 kwa maana mbili kwanza ndio code ya kimataifa ya simu ya Qatar pili umejengwa kwa idadi ya makontena 974 upo Doha Qatar na unachukua mashabiki 40,000, uwanja huu hauna AC kama vilivyo viwanja vingine.
Qatar world cup 2022