Google tag

mardi 29 août 2023

Arnold Schwarzenegger & Ronnie Coleman

𝙎𝙄𝙆𝙐 𝙃𝘼𝙕𝙄𝙂𝘼𝙉𝘿𝙄

muendelezo ni ule ule japo umri umekwenda
76 yrs — Arnold Schwarzenegger
59 yrs — Ronnie Coleman

 Miaka 76 lakini mwamba bado yuko fiti anapiga zoezi la kutosha 💪

Tafuta wazee wetu wa mtaani sasa hata wenye 65 yrs tu ucheke 😆

𝙉𝙤𝙩𝙚 — Hawa ndio watunisha Misuli (Body builders) bora wa muda wote (GOATS)..
Arnold alishinda MR OLIMPIA mara (8) na Ronennie Coleman alishinda mara nane (8). Japo ni katika nyakati tofauti.
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆 — Arnold (1970+)
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆 — Coleman (1990+)

MR OLIMPIA ni taji la juu zaidi Duniani linalotolewa kwa Bingwa mtunisha misuli kila mwaka Nchini Marekani 🇺🇲

 Ronnie Coleman kwa sasa ni mlemavu, hawezi kutembea. Amefanyiwa surgery mara (8) kwa nyakati tofauti.
Alipata ajali kwenye Gym mwaka 1996 akifanya squash huku kabeba uzito mkubwa,
DISC za uti wa mgongo zika pishana... Baadae alipona japo hakujua tatizo kumbe liliendelea. 1998 akapata injury tena.. 2000s akaanza kushindwa kutembea.

Kwa sasa ni mlemavu lakini hajaacha kupiga tizi, bado anaimani siku moja atainuka...
Gharama ya surgery alizofanya ni $ 2 million .


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire