Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon d'Or kwa mara ya (8), mara nyingi kuliko Binadamu yoyote 🙌
Lionel Messi ametwaa Ballon d'Or mara nyingi kuliko NCHI hizi bora Ulaya zilizotwaa mara nyingi tuzo hiyo kupitia wachezaji wao :
◉ 8 - Lionel Messi 🇦🇷
◎ 7 - Portugal 🇵🇹 (3 players)
◎ 7 - Netherlands 🇳🇱 (3 players)
◎ 7 - Germany 🇩🇪 (5 players)
◎ 7 - France 🇫🇷 (5 players)
Akiwa na umri wa miaka (36) na siku (128), Lionel Messi amekuwa mchezaji wa pili mwenye umri mkubwa zaidi kwenye historia kutwaa tuzo ya Ballon d'Or.
Ni, Sir Stanley Matthews pekee ndiye aliyetwaa Ballon d'Or akiwa na umri mkubwa kuliko Messi (41 yrs) mwaka (1956).
Messi amekuwachezaji wa kwanza kwenye historia kutwaa Ballon d'Or akiwa anacheza soka nje ya Ulaya.
Lionel Messi’s Ballon d’Or awards:
🏆 2009
🏆 2011
🏆 2012
🏆 2013
🏆 2016
🏆 2019
🏆 2021
🏆 2023
🐐 GOAT
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire