Alibaba

mardi 26 septembre 2023

World's unhappiest countries

Jarida kubwa duniani linalotoa takwimu za Vitu mbalimbali duniani linalojulikana kwa jina la World of Statistics limetoa orodha ya mataifa 10 duniani yasio kuwa na furaha (watu/raia wake hawana furaha)

Jarida hilo limeandika kuwa "World's unhappiest countries" Kulingana na viashiria vya ripoti hiyo, Afghanistan na Lebanon zilizokumbwa na vita zimesalia kuwa mataifa mawili yenye hayana furaha duniani na wastani wa tathmini ya maisha ya raia mmoja mmoja.


Mbali na mataifa mawili kuwekwa kwenye orodha hiyo yakichangiwa na vita, mataifa mengine yametajwa kama ugumu wa maisha kwa raia mmoja mmoja na baadhi ya sababu ambazo zinawafaya watu wasiwe na furaha ikiwa pamoja na uhuru wa kujieleza kwa kila raia.

LIST.

World's unhappiest countries

 1. Afghanistan 🇦🇫 
2. Lebanon 🇱🇧 
3. Sierra Leone 🇸🇱 
 4. Zimbabwe 🇿🇼 
5. DR Congo 🇨🇩 
 6. Botswana 🇧🇼 
 7. Malawi 🇲🇼 
 8. Comoros 🇰🇲 
 9. Tanzania 🇹🇿 
 10. Zambia 🇿🇲
12. India 🇮🇳 
 17. Egypt 🇪🇬 
 20. Bangladesh 🇧🇩 
 30. Pakistan 🇵🇰 
 32. Turkey 🇹🇷 
 37. Iran 🇮🇷 
43. Nigeria 🇳🇬 
 46. Ukraine 🇺🇦 
 53. South Africa 🇿🇦 
 54. Indonesia 🇮🇩 
 68. Russia 🇷🇺 
 74. China 🇨🇳 
 81. South Korea 🇰🇷 
 86. Argentina 🇦🇷 
 89. Brazil 🇧🇷 
 91. Japan 🇯🇵 
 99. Poland 🇵🇱 
102. Mexico 🇲🇽 
 105. Italy 🇮🇹 
 106. Spain 🇪🇸 
 108. Saudi Arabia 🇸🇦 
 112. UAE 🇦🇪 
 117. France 🇫🇷 
 119. UK 🇬🇧 
 122. Germany 🇩🇪 
 123. USA 🇺🇸 
 125. Australia 🇦🇺 
 128. New Zealand 🇳🇿 
 129. Luxembourg 🇱🇺 
 130. Switzerland 🇨🇭 
 131. Norway 🇳🇴 
 132. Sweden 🇸🇪 
 133. Netherlands 🇳🇱 
 134. Israel 🇮🇱 
 135. Iceland 🇮🇸 
 136. Denmark 🇩🇰 
 137. Finland 🇫🇮

Huku mataifa 10 yenye furaha zaidi duniani yakitajwa ni :

Finland 🇫🇮
Denmark 🇩🇰
Iceland 🇮🇸
Israel 🇮🇱
Netherlands 🇳🇱
Sweden 🇸🇪
Norway 🇳🇴
Switzerland 🇨🇭
Luxembourg 🇱🇺
New Zealand 🇳🇿.