Siku kama ya leo Miaka 26 iliyopita kampuni ya Sony ilitoa rasmi kifaa chake cha michezo cha PlayStation 2 nchini Japan.
PS2 hadi leo inasalia kuwa game iliyouzwa zaidi duniani ikiwa imeuza zaidi ya watumiaji milioni 160 kimataifa.
Kwa mafanikio yake makubwa PlayStation 2 imeacha alama isiyofutika katika historia ya michezo ya video na teknolojia ya burudani.
Enregistrer un commentaire