(Picha kwa hisani ya: Reuters na AP)
Mashabiki wa Manchester United leo wamemuaga kocha wao Sir Alex Ferguson ambaye anastaafu kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Ferguson amewaaga mashabiki wa Man Utd wakati wa mechi yake ya mwisho katika uwanja wa nyumbani wa Old Trafford dhidi ya Swansea City. Kocha huyo aliyedumu klabuni hapo takribani miaka 27 baada ya kustaafu kuifundisha timu hiyo itakuwa chini ya kocha wa Everton, David Moyes.

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire