Google tag

mardi 14 mai 2013

Suma lee Amshukia Lamar Baada ya Kugundua Beat ya Ngoma yake Mpya Inafanana na Beat Kutoka South Africa




Jana kupitia mtandao wa instagram, msanii Suma Lee ambae siku ya juma nne wiki iliyopita alitambulisha ngoma yake mpya "Wanasema" ilitengenewa na producer Lamar, alipost picha inayoonyesha mazungumzo yake na mtu mwingine {sifahamu ni nani} ambapo alikua akiambiwa na kutumiwa beat ya wimbo unaofanana na wimbo wake huo mpya.
nadhani baada ya kusikiliza beat hiyo ndipo alipoamua kuweka wazi mazungumzo hayo pamoja na kicha cha habari alichokiandika hivi
"khaaaaa!!!!! hehehe.LAMAR nini hii!!!!! maana unamtia aibu SUMA LEE. Achekwe na ISMAIL MSWAHILI aaaaagh!!!! maza!! faza!!!

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire