Habari za Asubuhi wadau,Mi naelekea Kanisani,Mungu Awabariki sana sana,
Hii issue imeniuma sana sijui nijiandae vipi.....ok
Mtaani kwetu kuna Baba Mmmoja alikuwa
anatembea na housegirl wake,sasa siku moja Mama watoto
akawatega,akamufukuza housegirl aende kwao,nae alimuaga Mume wake kuwa
anasafiri kidogo angerudi kesho yake,alimfukuza house girl bila
kumtaarifu mumuwe,kuwa akirudi atampaa taarifa tu,house girl huyooo
kwao,na yeye badala ya kusafiri akaenda sehemu akawahi kurudi,jamaa
kurudi,kala,kamaliza mida kama ya usiku Mume kama kawaida yake ilikuwa
akifika usiku huamka na kuingia chumbani kwa house girl,akalala,kumbe
usiku Mama watoto ndo kalala,kuanza kumwamsha na kupapasa akakuta ni mke
wake,ugomvi ulianza pale,huko ndani,Yule kijana alikuwa
hajui,aliposikia hivyo aliumia sana kuwa duu kumbe na Mdingi anakula
house girl,Mtu ana share na mtoto wake bila kujijua,kijana akawa
anawaambia rafiki zake.Jamani hivi hawa watoto wetu wa kiume tufanyaje
wasitembee na house girl,kuna watu wanasema haiwezakani lazima tu kama
una mtoto wa kiume atatembea tu na housegirl nini Ushauri wako?
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire