Google tag

lundi 18 novembre 2013

TASWIRA ZA HARUSI YA PETER OKOYE NA LOLA OMOTAYO NCHINI NIGERIA JANA

Diamond Platnumz akifanya makamuzi katika harusi ya kimila ya Peter Okoye. Kushoto ni Emmanuel Adebayor akimpigia makofi.
Mwanamuziki kutoka P-Square, Peter Okoye (kushoto) akipozi na mwanasoka wa Tottenham na timu ya Taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor wakati wa harusi ya kimila ya mwanamuziki huyo jana Nigeria.
Bwana harusi Peter Okoye akimvisha pete mkewe Lola Omotayo.
Harusi ya kimila ikiendelea.
Bibi harusi Lola Omotayo.
Peter katika pozi na wapambe wake.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire