PHOTOS:DIAMOND NDIO MTANZANIA PEKEE ALIYE ALIKWA NA P-SQUARE KUSHUHUDIA ARUSI YA PETER OKEYO
Pichani ni Diamond Platnumz msanii
kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa Psquare pale walipokutana
huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naija
kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo Number One remix
aliyomshirikisha msanii kutoka huko huko Naija anaitwa Davido. Nadhani
tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
|
Akiwa na Mwanamuzi Iyana |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire