Google tag

lundi 6 janvier 2014

STEVE NYERERE NDIYE MWENYEKITI MPYA BONGO MOVIE CLUB

Mwenyekiti mpya wa Bongo Movie Club, Steve Nyerere.
Dk. Cheni na Asha Baraka wakisalimiana kabla ya uchaguzi kuanza katika Viwanja vya Leaders Club.
Kutoka kushoto: Baba Khadji, Barafu na Libert wakisubiri mchakato wa kupiga kura kuanza.
Chiki (kushoto) na Rich wakiteta jambo kwenye Viwanja vya Leaders.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Bongo Movie Club, Jimmy Mafufu.
Wasanii wakiwa tayari kuwachagua viongozi wao katika Viwanja vya Leaders Club.
Chiki (kushoto) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Bongo Movie Club, Dk. Cheni.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire