Faida za TENDE.
1- Hutia joto mwilini.
2- Hutia nguvu mwilini.
3- Huongeza spam.
4- Huondoa njaa.
5- Huongeza stimuleshen.
6- Huondoa maumivu ya tumbo.
7- Huondoa maumivu ya hedhi.
8- Huondoa kikohozi na mafua.
9- Huongeza damu.
10- Hupunguza uchungu wakati wa kujfunguwa.
11- Huongeza nguvu ya tendo la ndoa.
Jtahid kuipenda Tende kwani Mtume Muhammad s.a.w anasema: Nyumba isio na TENDE basi ina NJAA.
Tafadhali wape Elimu hii wengine wapate KUELIMIKA In Shaa Allah.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire