Google tag

vendredi 2 septembre 2016

Satelaiti ya Facebook ya kufikisha mtandao kasi Afrika yaharibiwa

Mwanzilishi wa kampuni ya Facebook Mark Zuckerberg amelezea kusikitishwa kwake baada ya satelaiti ambayo Facebook ingeitumia kwa mawasiliano ya kasi ya mtandao wa intaneti barani Afrika kuharibiwa.
Satelaiti hiyo iliharibiwa katika mlipuko uliotokea eneo la Cape Canaveral jimbo la Florida, Marekani siku ya Alhamisi.
Satelaiti hiyo kwa jina Amos-Six ilikuwa imebebwa na roketi ya Falcon Nine ambayo ililipuka ilipokuwa ikifanyiwa majaribio ya kujiandaa kwa safari ya siku ya Jumamosi.
Mlipuko huo ulitokea wakati roketi hiyo ilikuwa ikijazwa mafuta na kutikiza majengo yaliyokuwa umbali wa kilomita kadha.
Bw Zuckerberg, ambaye yumo ziarani Afrika, amesema "nimesikitishwa sana" kusikia kwamba satelaiti hiyo iliharibiwa.
"Tutaendelea kujitolea katika lengo lengo la kufikisha huduma ya mtandao kwa kila mtu na tutatia bidii hadi kila mtu apate nafasi na manufaa ambayo yangetokana na satelaiti hii," aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Hakuna aliyejeruhiwa wakati wa mkasa huo.
Mwandishi wa BBC anasema kuwa kulipuka kwa roketi hiyo ni pigo kubwa kwa mwanabiashara Elon Musk ambaye ni mmiliki wa kampuni ya kuunda roketi ya Space X.
Afisa mmoja wa masuala ya anga za juu wa Israeli amesema satelaiti ya Amos-6 inakadiriwa kuwa na thamani ya $200m (£150m) na ilimilikiwa na kampuni kwa jina Spacecom, was a major blow to the industry.
"Hili ni pigo kubwa sana ambalo huenda ikaathiri mustakabali wa sekta ya satelaiti na huenda ikahitaji kupigwa jeki (kifedha)," alisema mwenyekiti wa taasisi ya masuala ya anga za juu ya Israel, Isaac Ben-Israel.

Acer yazindua laptopu yenye kioo kilichojipinda

Kampuni ya Acer imezindua laptopu ya kwanza ilio na kioo kilichojipinda.Acer inasema kuwa uvumbuzi huo utaiwezesha kucheza michezo ya video.
Televisheni kadhaa pia zimetumia uvumbuzi huo,lakini umezua mgawanyiko kwa kuwa una umuhimu na ubaya wake.
Kampuni hiyo ya Taiwan pia ilitangaza kwamba imefanikiwa kupata tekenolojia ya pet katika mkutano na wanahabari mjini Berlin.
Kampuni kadhaa za kielektroniki ikiwemo Samsung,Lenovo,DJI,Sony na Huawei zinatarajiwa kuzindua sura mpya ya laptopu zake katika maonyesho ya kiteknolojia ya Ifa katika mji mkuu wa Ujerumani wiki hii.
Laptopu hiyo ina kioo kikubwa ikilinganishwa na laptopu ya kawaida ya Acer,lakini ni umbo lake ambalo liliifanya kampuni hiyo kudai kuwa ya kwanza kuzinduliwa duniani.

#TOP10 | VIDEO 10 ZILIZO ANGALIWA SANA TANZANIA August 2016

VIDEO 10 BORA TANZANIA ZILIZO FANYA VIZURI NYUMBANI[(Tz)

https://youtu.be/FriJAhlWYs4

Hizi hapa ni Top Ten video Zilizo Fanya Vizuri Tanzania Kwa Kuangaliwa na watu wengi Kwa Maramoja yani zilivyo toka nakupata View wengi na kwenza ku Trending www.djmwanga.com Pamoja na YouTube.com

10 - Mo Music - ADO ADO
Director : KWETU STUDIOS
-----------------------------------------------------------------------------
9 - Dogo JANJA - KIDEBE
Director : HANSCANA
-----------------------------------------------------------------------------
8 - RayVanny - NATAFUTA KIKI
Director : KWETU STUDIOS
-----------------------------------------------------------------------------
7 - Christian Bella - NISHIKE
Director : N/A
-----------------------------------------------------------------------------
6 - S. Kide - Ushemeji Upo
Director : PABLO
-----------------------------------------------------------------------------
5 - Bonge La Nyau - AZA Ft. Chillah
Director : KWETU STUDIOS
-----------------------------------------------------------------------------
4 - Gentriez - CHAPA Ft. Belle9 & Young Dee
Director : HANSCANA
-----------------------------------------------------------------------------
3 - Nay Wa Mitego - PALE KATI[Dance Battle]
Director : Joowzey
-----------------------------------------------------------------------------
2 - Chege - WAACHE WAOANE Ft. Diamond
Director : JUSTIN CAMPOS
-----------------------------------------------------------------------------
1 - Dully Sykes - INDE Ft. Harmonize
Director : HANSCANA
-----------------------------------------------------------------------------

1 Dhul-Hijjah will be on Saturday 3

*1 Dhul-Hijjah will be on Saturday 3 September 2016, and the Muslims performing Hajj will be in ‘Arafah on Sunday 11 September 2016 (9 Dhul-Hijjah 1437), and we shall be celebrating ‘Eed al-Adhaa on Monday 12 September 2016, (10 Dhul-Hijjah 1437), in shaa.-Allaah.*

_IMPORTANTLY_:

*If you intend to offer the Qurbani | ‘Eed Sacrifice, then be sure to refrain from cutting your hair and nails from the 1st of Dhul-Hijjah until the slaughter is complete.*

http://www.fatwa-online.com/eed-adhaa-1437-high-judiciary-council-of-saudi-arabia/

Jazak Allah khair

MAMBO 8 YANAYOLETA MAHABA KTK NDOA YA KIISLAM.

1-MTOLEE SALAM MUMEO/MKEO NA UMPE MKONO KILA ANAPORUDI KUTOKA KAZINI AU MATEMBEZINI.

2-MUULIZE MUMEO/MKEO UNAPENDA NIKUITE KWA JINA GANI?MUITE KWA JINA ALIPENDALO.

3-JENGA TABIA YA KUMPIGA BUSU MUMEO/MKEO MARA KWA MARA.

4-KAA NA MUMEO/MKEO WAKATI WAKULA AU KULENI PAMOJA.

5-KILAUKITOKA MATEMBEZINI MLETEE ZAWADI HATA KAMA KIDOGO.

6-WAFANYIE WEMA WAZAZI WA MUMEO/MKEO KAMA UNAVYOWAFANYIA WAZAZI WAKO.

7-AKIPENDEZA MUMEO/MKEO MWAMBIE HONGERA/UMEPENDEZA MUME WANGU/MKE WANGU NA UMBUSU"NDOA IDUMU              "

8 JITAHIDI UWE MWALIMU KITANDANII KWA KILA HALI