Alibaba

samedi 24 décembre 2016

HIZI NDIZO MBINU ZA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE NA HACHOMOKI.

Muda au Pesa Nyingi!"
Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.
Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza.

Sio Kweli !!!

Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5. Au wengine wanatoboka sana mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo. Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo bure, tena bila kunawa!

Je Unajua Njia Sahihi za Ku-handle Vikwazo vya Wanawake?
Wanawake ni watu wa vikwazo. Wenyewe wanasema wanaweka vikwazo ili kukupima kama una "mapenzi ya kweli". Unachotaka wewe ni kimoja. Kula mzigo. Maana inabidi ule mzigo kwanza, ndo ujue kama uendeleze mapenzi yawe ya kweli ... au upotezee. Au sio mzee?
Ila yeye atakuwekea vikwazo kibao kama vifuatavyo:
Niko kwenye period
Nina boyfriend / mume / mchumba
Ninaumwa (malaria/tumbo/kichwa/n.k.)
Mama yangu mgonjwa
Niko bize na kazi
Nimeokoka nampenda Yesu! Mwanaume wangu ni Yesu tu!
Wiki hii nina test (kwa wanavyuo)
Mi sitaki mambo hayo, mpaka nimalize masomo nipate na kazi
Mi bado mdogo
Sitaki!!
Nyumbani kwetu geti kali siwezi kutoka
Wewe sio mwanaume wa type yangu (mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana/huna hela/n.k.)
Mi sitoki/siongei na watu nisiowajua (strangers)
Sijisikii kuwa na wewe / sikupendi!
na kadhalika
Je ni mara ngapi umekwamishwa na mojawapo ya vikwazo kama hivyo hapo juu?


Utajisikiaje nikikwambia kuwa vikwazo vya dizaini hiyo vingi ni geresha tu ... sio vikwazo kwa maana ya vikwazo bali ni fursa nzuri kwako kupata unachotaka?
Na bomba zaidi je unajua mbinu za kutumia ili kumfanya mwanamke asikupe kabisa vikwazo kama hivyo? Ukimtongoza mwanamke vibaya atakuwekea vikwazo vingi na hata kama utampata atakuwa ashakuzungusha sana na kukupotezea muda na pesa. Ukiwa na mbinu za kuzuia vikwazo maisha yako yatakuwa rahisi zaidi.
Sasa Mpango Mzima Uko Namna Hii...
Tuna wataalam wa kutongoza. Hao jamaa ni noma, we mwenyewe ukiwasikia sound zao, na ukiona swaga zao utawakubali.
Na uzuri zaidi sio sound na swaga tu, bali wanakula kweli mizigo fasta tena bure bure. Sio watu wa maneno miiiingi na resi kibao halafu mwisho wa siku wakaishia kunawa. La hasha, wanasoundisha na wanakula mzigo.
Kila wiki tunarekodi na kurusha kupitia email (au CD) "episode" kadhaa ambapo wataalam wanatokea mademu kwenye mazingira mbali mbali. Njiani, barabarani, vyuoni, kazini, stendi za daladala, kwenye daladala, club, beach, n.k.
Ukisikiliza hizi "episode" utapata darasa kamili la ujanja wa kumtongoza mwanamke yoyote yule, mahali popote.
Si rahisi kukupa picha kamili kwa maneno tu, inabidi ujiunge nasi uanze darasa ndipo utajionea mwenyewe.

Kwenye "episode" zetu utasikia staili mbali mbali za kutongoza, kama vile:
Tongoza ya kistaarabu (kiupole)
Tongoza ya ki-gangsta (yaani kigumu gumu)
Tongoza ya ki-mafia (yaani no kubembeleza)
Tongoza ya kizungu
Tongoza ya kihindi
Tongoza ya kiarabu
Tongoza ya kimya kimya
Tongoza ya mchanganyiko wa aina mbali mbali hapo juu
Kila tongoza ina mahali pake, utasikia na maelekezo ya ziada kuwa tongoza ipi itumike wapi ... ukichanganya umeharibu!
Na Si Hayo Tu...

Kwenye "episode" za kila wiki utapata sio tu kusikiliza laivu wanawake mbali mbali wanavyotongozwa mpaka kitandani, bali utapata na "track" za ziada ambapo mtaalam husika anaelezea na kufafanua kile alichokuwa anafanya na mahesabu aliyokuwa anapiga kichwani mwake wakati anamtongoza huyo mwanamke.

Kutongoza kunahitaji maandalizi makubwa nyuma ya pazia ... maandalizi ya kiakili, kimuonekano, kusoma mazingira, na kumsoma mwanamke.
Kwa hiyo utapata na maelezo ya ziada kwa nini mwanamke fulani katongozwa kwa staili fulani badala ya staili fulani. Hii itakusaidia kukujenga ndani na nje ili uwe "striker" hatari kuliko Emmanuel Okwi.

Mourinho: Sidhani kama Chelsea watapoteza kwa jinsi wanavyo paki basi

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amekiri itakuwa vigumu mno kwa timu yake kushinda ubingwa wa ligi kuu msimu huu kwa sababu ya tabia ya Chelsea kupaki basi.
Man United ambayo ipo katika nafasi ya sita ipo nyuma ya Chelsea kwa jumla ya pointi 13, ambao wameshinda mechi zao 11 za mwisho na kuizidi Liverpool inayoshika nafasi ya pili kwa jumla ya pointi sita.

Mourinho amesema kuwa haitakuwa rahisi kwa klabu yake ya Man United kuzifikia alama ya klabu yake ya zamani, hasa ukizingatia Chelsea wanacheza mchezo wa kukaba zaidi.
“Ni vema kuwa mkweli na kusema kwamba ni ngumu sana (kutwaa ubingwa msimu huu). Si tofauti ya alama tu, bali pia falsafa ya Chelsea katika uchezaji. Hawajali nini watu wanasema, wala wanachofikiria watu. Wao wanataka kushinda tu. Na kwa sababu hiyo, sidhani kama watapoteza pointi.”

Mechi nne za mwisho kati ya sita walizoshinda Chelsea wamepata ushindi wa 1-0.

CAF yatangaza majina 3 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika

Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limetangaza majina ya wachezaji watatu ambao watawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka huu.
Wachezaji waliotajwa kwenye orodha hiyo ni pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon (Borussia Dortmund), Riyad Mahrez wa Algeria (Leicester City) na Sadio Mané wa Senegal (Liverpool).
Wachezaji wengine waliotajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa ligi za ndani kwa ligi za ndani ni golikipa wa Uganda Dennis Onyango na Khama Billiat wa Zimbabwe wote wanachezea klabu ya Mamelodi Sundowns na Rainford Kalaba kutoka Zambia na klabu ya TP Mazembe.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Januari 5, mwakani jijini Abuja, Nigeria.

PSG ya kamilisha usajili wa kiungo Julian Draxler

Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Nchini Ufaransa, imetangaza kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji ,Julian Draxler kutoka Wolfsburg kwa mkataba wa miaka minne na nusu kwa ada ambayo inasemekana kuwa ni pauni milioni £34m.
Mjerumani huyo,23, atajiunga rasmi na matajiri hao wa Ufaransa mwezi ujao katika dirisha dogo la usajili.

Souvenir France vs Portugal

#FRANCE - Ce moment où les larmes ont coulé...

Ronney en doute

Oui, c'est encore plus fou. 💸💸
800.000 euros de salaire par semaine offre des maîtres chinois guangzhou ever grande star le buteur anglais Wayne Rooney pour un changement. C'est ce que rapporte the mirror.
Oscar a changé hier de Chelsea à Shanghai sipg - et encaisse 415.000 euros nets par semaine.