Kipa wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Italia, Gianluigi
Buffon akizungumza na waandishi wa habari jana kuelekea mchezo wake 1,000 wakati timu yake ya taifa, Italia itakapoikaribisha Albania leo mjini Palermo katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia.
Amesema “Najiona ni mwenye furaha sana kufukisha mechi 1000 kwa taifa langu”, alisema Buffon ambaye alionekana kuwa ni mwenye furaha.
Buffon alicheza mechi yake ya kwanza Parma akiwa ana umri wa miaka 17 mwaka 1995, kabla ya kuhamia Juventus mwaka 2001 na kipa huyo ameichezea Italia kwa miaka zaidi ya 19 tangu Oktoba 29, mwaka 1997 akiwa ana umri wa miaka 19.

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire