Alibaba

lundi 18 mars 2019

Watch Video as Actress #Etinosa goes Totally #Naked on #MCGalaxy Live Video



Abuchief.Com

WAKUBWA TU 18+: Muigizaji wa filamu Nigeria, Etinosa amuonesha sehemu za siri MC Galaxy akiwa live Instagram (video) Video





Msanii wa muziki nchini Nigeria, MC Galaxy amejikuta akiambulia lawama nchini Nigeria baada ya kuacha kukatisha video akiwa Live kwenye mtandao wa Instagram huku muigizaji wa filamu na mchekeshaji maarufu nchini humo, Etinosa Idemudia akionesha sehemu zake za siri.


MC Galaxy


Mwanadada huyo alimkuta MC Galaxy akiwa Live kwenye mtandao huo akiongea na mashabiki wake na ndipo alipoanza kumwambia kuwa anataka kumuonesha sehemu zake nyeti.
Etinosa Idemudia ambaye kwenye video alionekana akiwa amelewa huku akiwa na glasi ya bia, alianza kusema “mimi kwa sasa nimechanganywa na mpenzi wangu nimemwambia aondoke chumbani kwangu hataki, sasa nataka MC Galaxy nikuoneshe sehemu zangu za siri kama hataki kutoka chumbani kwangu shauri yake”.


Etinosa Idemudia


Ameeleza mrembo huyo na kuanza kuchojoa nguo zake kuanzia kifuani hadi kwenye sehemu za siri, huku akionesha kwa kamera ya simu.
Wakati akifanya kitendo hicho, alikuwa akilalamika kuwa wanaume wengi wa Nigeria ni wasaliti na hawajui uzuri wa wanawake ndio maana kaamua kuwaonesha mtandaoni.
Hawa wavulana kila siku wananipa stress, kila siku nakosa furaha wacha nijipe raha mwenyewe. MC Galaxy nakuomba sana usikate video live, kwani kuna watu nataka waone uzuri wangu,“ameeleza mrembo huyo ambaye amekuwa maarufu sana mitandaoni nchini Nigeria.
Hata hivyo, baadhi ya watu wakiwemo wanawake walianza kumshambulia MC Galaxy kwa kumtaka akate video hiyo kwani ni udhalilishaji kwa wanawake.
MC Galaxy baada ya kurekodi video hiyo kwa dakika 18 amesema kuwa alichukulia kawaida na asingeliweza kukata video hiyo na kuwaonya wanawake wengine kuwa tukio hilo likitokea tena hatakata video kwani ni matakwa yao.








Tupac Shakur, Mashabiki wamuwashia moto “Kwa haya mafanikio yangu,nimefikia level za 2pac”

Rapper kutoka nchini Mrekani Clifford Joseph Harris Jr alimaarufu T.I. hakuna shaka kuwa ni mojawapo ya wasanii historia kubwa kwenye muziki wa trap hadi hivi sasa. Lakini je, kufanya kote vizuri huko amnaweza kuwa level moja na Tupac Shakur? kwa maoni yake kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweza kujilingalisha na ngumu huyu wa muziki wa Rap ambaye alifariki dunia Sept. 13, mwaka 1996. “ Najua hamtaki kuongea hiki kwamba mimi ni bora sana katika hiki ninachokifanya, najua hutokubali kubadilishwa ukubali ukatae” hivyo ndivyo alivyoandika baada ya kupost picha yake na kuweka maneno haya chini.


T.I akaendelea kusema maneno haya “Unapokwishamaliza kufanya buuuulshittin ‘ naomba nisaidie na Nifanyie jambo hili …. Nani tangu 2Pac afanye mambo mengi tofauti na kuleta tofauti nyingi katika muziki hasa katika muziki wa, biashara na fursa nyingine? Nitasubiri jibu lako” aliwauliza mashabiki zake swali hilo na mashabiki walianza kumuandama kwa maswali.






Nasaha kwa wana Ndowa by Nuuru Salaam ft Madrasatul Firdaus (Audio)



Abuchief.Com

Mitihani by Nuuru Salaam (Qaswida)



Abuchief.Com