Accueil Franck Ribéry afanya ajali Abuchief mars 01, 2022 0 Mchezaji wa zamani wa klabu Bayern Munich, Frank Ribery amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kugonga taa za barabarani.Ribery (38) aliyekuwa miongoni mwa abiria katika gari hilo ameumia vibaya kichwani na kuwahishwa hospitali. You Might Like
Enregistrer un commentaire