Google tag

samedi 2 avril 2022

Louis Suarez kukutana na Ghana kwa mara nyingine

Takribani miaka (12) imepita sasa


Myaka imepita mingi tu tangu Luis Suarez 🇺🇾 awalize Waafrica wengi kwa kuudaka mpira uliokuwa unatinga kimiani ambao ungepelekea Ghana 🇬🇭 iwe timu ya kwanza ya Kiafrika kufuzu nusu fainali kwenye kombe la Dunia.



Sasa ni rasmi Wamekutana tena kwenye kundi (H)

🇵🇹 Portugal
🇬🇭 Ghana.
🇺🇾 Uruguay
🇰🇵 Korea Republic



Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire