Alibaba

samedi 23 avril 2022

World cup 2002


Kwenye mashindano ya Kombe la dunia yaliyofanyika mwaka 2002 Korea 🇰🇷/Japan 🇯🇵, kundi "F" lililokuwa na mataifa ya Argentina🇦🇷, Nigeria🇳🇬, England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 na Sweden🇸🇪 liliitwa kundi la kifo (Group of Death)


Matokeo yalikuwa hivi:-

🇦🇷Argentina 1-0 Nigeria 🇳🇬
🇦🇷 Argentina 0-1 England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
🇦🇷 Argentina 1-1 Sweden🇸🇪

Nigeria🇳🇬 0-1 Argentina 🇦🇷
Nigeria 🇳🇬 1-2 Sweden 🇸🇪
Nigeria 🇳🇬0-0 England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿England 1-1 Sweden🇸🇪
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England 1-0 Argentina 🇦🇷
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England 0-0 Nigeria🇳🇬

🇸🇪Sweden1-1 England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
🇸🇪 Sweden 2-1 Nigeria 🇳🇬
🇸🇪 Sweden1-1 Argentina.🇦🇷

Sweden🇸🇪 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 zikafuzu kuingia hatua ya 16 bora zote zikiwa na alama 5 na tofauti ya goli 1 ya kufunga na kufungwa.

🇦🇷Argentina ilimaliza nafasi ya 3 ikiwa na alama 4 na tofauti ya magoli ya kufungwa na kufunga 0. 🇳🇬 Nigeria wakawa wa mwisho kwenye kundi kwa alama 1 huku wakiwa wanadaiwa magoli -2

🔸Ushindi mkubwa Kwenye hili Kundi ni wa Sweden 🇸🇪2-1 Nigeria 🇳🇬. Maana halisi ya Kundi la kifo😒