Alibaba

vendredi 20 mai 2022

Rihanna apata mtoto wakiume

Kupitia vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa Rihanna na mpenzi wake asap rocky wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza.


Rihanna na Asap Rocky wanaripotiwa kupata mtoto wa kiume.




Mtu mzima mwenye umri mkubwa Duniani

Johanna Mazibuko kutokea Afrika Kusini kwa sasa anatwaja ndiyo binadamu mzee zaidi Duniani akiwa na umri wa miaka 128.


Katika siku yake ya kuzaliwa Johanna alionesha cheti chake cha kuzaliwa ambacho kinaonesha alizaliwa tarehe 11 May mwaka 1894.