Google tag

jeudi 14 septembre 2023

Majengo Makubwa Duniani


Hili ni jengo la tatu kwa urefu Duniani, linaitwa SHANGHAI TOWER 🇨🇳

Urefu wake ni meters — 632 !!


Yaani, chukua uwanja wa soka wa meters (100) kisha usimamishe kwenda juu mara (6+) ndio urefu wa jengo hili 🙌

Jengo hili lina ghorofa kadhaa kwenda chini ya ardhi, lina decks | Ghorofa — 562

Haya ndiyo majengo marefu zaidi Duniani | Tallest Skyscrapers in the world ;

Burj Khalifa — 01
◉ 828 meters
◉ Dubai 🇦🇪


Malaysia-Merdeka — 02
◉ 676 meters
◉ Malaysia 🇲🇾


Shanghai Tower — 03
◉ 632 meters
◉ Shanghai China 🇨🇳


Makkah Clock Royal Tower — 4
◉ 601 meters
◉ Saudi Arabia 🇸🇦



𝙉𝙤𝙩𝙚 — Shanghai Tower ni jengo lenye ghorofa (Decks) nyingi zaidi Duniani, katika structure yake halina mnara juu kama Burj khalifa na Malaysia-Merdeka.

📌 Majengo yote manne yako Asia 🙌


Harry Maguire

... 💔 ›› 𝙃𝘼𝙍𝙍𝙔 𝙈𝘼𝙂𝙐𝙄𝙍𝙀

Dunia imeamua tu kumchukia Maguire. Hawa ndio vinara wa kujifunga EPl !

⚽ ‹‹ 10 — Richard Dunne
⚽ ‹‹ 07 — Jammie Carragher
⚽ ‹‹ 07 — Phil Jagielka
⚽ ‹‹ 07 — Martin Skrtel
⚽ ‹‹ 06 — John Evans
⚽ ‹‹ 06 — Wes Brown
⚽ ‹‹ 06 — Ryan Shawcross
⚽ ‹‹ 06 — Frank Sinclair

Harry Maguire hayupo hata kwenye top (15) ya wachezaji waliojifunga magoli mengi EPL, mpaka sasa kajifunga goli (1) tu (EPL) 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿


Lakini jinsi anavyozungumzwa unaweza kudhani alishajifunga magoli (30) .. Too bad.

Najiuliza tu, Maguire angekuwa kajifunga idadi ya magoli (7) tu EPL kama Carragher, Jagielka au Martin Skrytel INGEKUWAJE ?!

Carragher na Beki Martin Skrytel wanaimbwa pale Liverpool kama miongoni mwa wachezaji bora wa kizazi cha Liverpool lakini wamejifunga mabao (7) kila mmoja na hakuna kejeli.

Dunia imeamua kumchukia tu Harry Maguire, but makosa anayoyafanya yalifanywa na wachezaji wengi tu tena wenye ubora mkubwa.

𝙏𝙖𝙠𝙬𝙞𝙢𝙪 𝙯𝙖 𝙈𝙖𝙜𝙪𝙞𝙧𝙚 𝙀𝙋𝙇 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

◉ Games played — 220
◉ Goals scored — 11
◉ Headed goals — 07
◉ Goals woth right foot — 04
◉ Games won — 98
◉ Own Goals — 01
◉ Cleansheets — 56
◉ Goals conceded — 278
◉ Tackles — 261 (67%)
◉ Last man tackles — 05
◉ Blocked shots — 38
◉ Interceptions — 334
◉ Clearances — 900
◉ Headed clearances — 565
◉ Clearances — Off-line
◉ Recoveries — 1,262
◉ Duels won — 1,265
◉ 50/50 successful — 121
◉ Aerial battles won — 728
◉ Asrial battles lost — 295
◉ Assists — 08
◉ Passes — 11,615
◉ Passes per match — 52.8
◉ Big chances created — 09
◉ Clisses — 40
◉ Accurate long balls — 952
◉ Yellow cards — 47
◉ Red card — 02
◉ Fouls — 184
◉ Off-side — 19
◉ Kagongest miamba — x7

📌 Takwimu hizi kwa beki wa kati katika mechi (220) ni za kiwango cha juu.

𝙉𝘽 — Ukitaka kumuua paka mpe jina baya.