Msanii nyota wa Afrobeats
Ayra Starr sasa ni rasmi yuko chini ya usimamizi wa Roc Nation, kampuni inayo milikiwa na Jay Z.
Amesaini Mkataba na kampuni hiyo
Mkataba wa miaka 5 ambao unakuja na masharti mazito
Ayra haruhusiwi kupata ujauzito wala kutangaza mchumba wake hadi mkataba utapo malizika!
Jay Z anataka Ayra ajikite kwenye muziki na brand yake kimataifa bila vikwazo vya mahusiano.
Ni fursa kubwa, lakini pia ni sadaka kubwa kwa ndoto ya kuwa global icon.
Enregistrer un commentaire