Alibaba

vendredi 6 septembre 2013

AUDIO | Dayna - Naumia[Unaosemekana uliibwa na Diamond na kuuita "Number one"]

Huu ndio wimbo wa  Dayna ambao Diamond ameiba bit na melody na kuuita namba one.
Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na kumwambia ile bit ampe na aachane na kazi ya Dayna.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire