Bili ilivyomchanganya Masawe;
Masawe
alienda na rafiki zake Bar
kunywa, baada ya
kumaliza kunywa bili ikaletwa
kama
ifuatavyo;
1). Manka = 35,000fr
2). Madona =20,000fr
3). Dine = 30,000fr
4). Abelle =15,000fr
5). Abuchf =10,000fr
TOTAL = 110,000fr
Masawe akaicheki bili akasema;
wote
nitawalipia, lakini huyo TOTAL
''mama wee'' simlipiyi
kabisa. Kwanza anamiliki station
kibao za
mafuta hapa Bujumbura....
na amekunywa nyingi kuliko wote,
alipe mwenyewe.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire