Google tag

lundi 28 novembre 2016

UKIYAONA HAYA JUA MWANAMKE ANA UCHI WENYE KINA KIREFU SANA

Dalili ni chache sana. Kuna watu wanasema mara nyingi mwanamke mwembamba ana uchi
wenye kina kirefu sana kwa hiyo wanawake wengi wa sampuli hiyo wamebarikiwa.

Lakini
wanene wamenyimwa zawadi ya kina kirefu.Piawengine wanadai kuwa ukiangalia mwanya
uliopo kati ya dole gumba la mguuni na kidole kinachofuatia,
utagundua kitu. Mwanamke
mwenye mwanya mkubwa ana uchi mpana na mwenye kina sana na mwenye mdogo ana uchi mdogo.
Tatu ni urefu wa kiganja pamoja na vidole vya mwanamke akivinyoosha.

Kama virefu sana jua basi na kina cha uchi wake ni kirefu sana. Lakinikama kiganja
na vidole vya mikononi ni vifupi, ujue kina ni kifupi pia!

Source;Chizika

HIZI NDIO ISHARA KUBWA TANO ZA MWANAMKE ALIYEKUZIMIA KISAWASAWA....soma hapa usipitwe !!!!

Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke anakupeda kweli kweli,utajuaje kuwa mwanamke anakupenda? Zifuatazo ni ishara ambazo wewe kama mwanaume unapaswa uwe makini ili uweze kuziona na haraka kumtolea uvivu huyo mwanamke.

1*Mwanamke anaekupenda she apriciates the lito things you do hata kama sio cha maana sana na pia anapenda kushare nawe her time.....

2* Mwanamke anayekupenda atahangaika juu yako, atahangaika juu ya usalama wako,raha yako,heshima yako na maendeleo yako.Hii ni moja kati ya ishara kubwa kuwa mwanamke huyo anaupendo na wewe.

3* Mwanamke anayekupenda atakuonea wivu mara kadhaa,Wivu ni ishara kuwa anakupenda wewe na anataka akulinde usiibiwe au asije akakupoteza,anaogopa usije ukatoka katika maisha yake,au kwa maneno mengine usije ukamtoa moyoni mwako na nafasi yake ikachukuliwa.Japo wivu ukizidi sana pia inaweza kuleta tatizo.

4* Mwanamke anayekupenda atakapokuwa mbele ya marafiki zake au watu wengine atacheka nao lakini atakugeuzia ww macho/uso wake haraka sana. Kufanya hivi ni kuonyesha kuwa anakuhesabia ww kuwa utaweza kumletea furaha katika maisha yake,zaidi ya hilo ni kwamba anatumaini kuwa utamuona kuwa yeye ni mtu aliye rahisi kufurahishwa kwa kuwa yeye ni mtu wa furaha.

5* Mwanamke anayekupenda ataendelea kukuangalia usoni kwa muda mrefu kuliko ilivyo kawaida ya wanawake wengine,mara nyingi atakuangalia na kutabasamu vizuri. Hii huenda ni ishara moja muhimu sana ya kukuambia kimoyomoyo kuwa “NJOO NIKO KWAAJILI YAKO.”

Hivyo kama ulikuwa unahisi unamhitaji basi ni wakati mwafaka wa kumfuata na kumweleza ukweli na kirahisi nakuhakikishia unabeba mzigo kwani ni mtu tayari aliyekuwa anahisia kali za mahaba juu yako...

KUMBUKA: WASICHANA WANAAIBU SANA NA USITEGEMEE ATAKUFUATA NA ATAKWAMBIA KUWA ANAKUPENDA KWANI NI WACHACHE WENYE UJASIRI HUO... ILA UKIONA DALILI HIZO HAPO JUU USILAZE DAMU .. CHANGAMKA UTAMMILIKI KIULAINI

Njama 638 za mauaji alizoepuka Fidel Castro

Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637 dhidi ya maisha yake ni zipi?

Shirika la kijasusi nchini Marekani CIA na watu waliotoroka Cuba wakati wa uongozi wa Castro walitumia nusu ya karne moja kufanya njama za kumuua kiongozi ambaye taifa lake lina athari kubwa kwa Marekani, kulingana na balozi wa Marekani nchini Cuba Wayne Smith.

Wakati mmoja kiongozi huyo wa Cuba alinukuliwa akisema, iwapo kuepuka majaribio ya mauaji kungekuwa miongoni mwa michezo ya Olimpiki ningejishindia medali ya dhahabu.

Hatahivyo baadhi ya njama hizo hazikutekelezwa ,kulingana na aliyekuwa mlinzi wa zamani wa Fidel Castro, Fabian Escalante.
Stakhabadhi zilizofichuliwa wakati wa utawala wa Bill Clinton zilionyesha kuwa CIA wakati mmoja walianza kuwafanyia utafiti konokono wa eneo la Carebean.

Njama, ilikuwa kutafuta konokono mmoja ambaye angemvutia Castro anayependa sana kuogelea na kumjaza vilipuzi ndani yake kabla ya kumlipua Castro atakapomshika
Mpango mwengine ulikuwa ule wa kutengeza boya la kuogelea ambalo huvaliwa kama shati na ambalo lingetiwa ugonjwa mbaya wa ngozi ili kumuathiri kiongozi huyo.

Mipango yote hiyo ilitupiliwa mbali.
Ajenti huyo alisikitika na akataka mpango mwengine ambao sio rahisi kuugundua,ripoti hiyo ilisema.

Mmoja ya wapenzi wa Castro wa zamani ,Marita Lorenz alisajiliwa.
Alipewa dawa zenye sumu ili kuweka katika kinywaji cha Castro.Lakini Castro aligundua jaribio hilo na anadaiwa kumpatia bunduki yake badala yake atumie kumuua.

''Huwezi kuniua. Hakuna anayeweza kuniua,"Bbi Lorenzo alisema Bw Castro alimwambia, alipokuwa anahojiwa na gazeti la New York daily.

Castro alidaiwa kutabasamu na kuendelea kuvuta sigara yake.''Nilijihisi nimetolewa pumzi kwa sababu alikuwa na uhakika juu yangu.Alinikumbatia na tukafanya mapenzi''.

Jaribio jingine lililokuwa maarufu dhidi ya maisha ya Castro ni lile la 2000, wakati ambapo mpango uliwekwa kuweka vilipuzi vingi katika jukwaa ambalo alitarajiwa kuhutubia nchini Panama.

Mpango huo ulitibuliwa na vikosi vya usalama vya Castro.

Watu wanne ikiwemo mtoro mmoja wa Cuba pamoja na ajenti wa CIA kwa jina Luis Posada walifungwa lakini baadaye wakaachiliwa.

Pia kulikuwa na mipango ya kumfanya Castro ambaye pia anajulikana '' The Beared'' aonekana kama chombo cha kukejeliwa badala ya kumuua.

Mpango mmoja ulikuwa kumwagia viatu vyake chumvi ya thallium wakati wa ziara yake ya ughaibuni kwa lengo kwamba anaposhika ndevu zake zingeweza kukatika.

Lakini mpango huo ulitibuliwa baada ya Castro kuahirisha ziara hiyo.Castro alichukua tahadhari ya hali ya juu ili kuwakwepa watu waliopanga mauaji yake.

Mwaka 1979 alipokuwa akielekea mjini New York ili kuhutubia mkutano wa Umoja wa Mataifa hakuweza kuwazuia wanahabari waliomuuliza iwapo alikuwa amevaa fulana ya ndani ambayo ina kinga dhidi ya risasi, alivua shati lake na kuwaonyesha kifua chake.

''Nimevaa fulana ya kawaida'',alisema.
Miongo kadhaa awali mwaka 1975, tume ya bunge la seneti nchini Marekani ilifichua maelezo ya njama nane dhidi ya maisha ya Castro kwa kutumia vifaa ambavyo tume hiyo inasema ''vinachosha akili''.

Njama moja iliopangwa na ambayo karibu ifaulu mara mbili ilikuwa ile ya kutuma dawa za sumu Cuba na kuwapeleka watu kumuua kiongozi huyo.

Ulikuwa wakati kama huo ambapo rais Kennedy, ambaye aliruhusu uvamizi wa kumuondoa madarakani rais Castro mwaka 1961 aliuawa, ambapo ajenti wa CIA alikuwa anatoa kalamu yenye sumu ilio na sindano kwa ajenti mmoja wa Cuba ili kumuua kiongozi huyo.

Davido aungana na wachezaji wa Chelsea kusherehekea ushindi

Davido ameonyesha yeye si mtu wa mchezo mchezo. Staa huyo aliungana na wachezaji wa Chelsea kusherehekea ushindi wa timu hiyo walioupata dhidi ya Tottenham Hospurs wa mabao 2-1, Jumamosi iliyopita.

Hitmaker huyo wa How Long alifanikiwa kupiga picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo akiwemo Diego Costa, Eden Hazard, Victor Moses, David Luiz na César Azpilicueta.

Kupitia mtandao wa Instagram, muimbaji huyo ameandika, “GREAT
GAME!!@chelseafc ..”

Naye mchezaji wa timu hiyo Victor Moses ambaye ni raia wa Nigeria, ameandika kwenye mtandao wake wa Twitter, “What a feeling!So happy to get the win in such a big game.Thankful to score and help the team!Good to celebrate with @iam_davido too #CFC What a feeling!So happy to get the win in such a big game.Thankful to score and help the team!Good to celebrate with @iam_davido too #CFC.”

Hii ndio sababu ya timu ya Real Madrid kuvaa jezi za plastic dhidi ya Sporting Gijon

Klabu ya Real Madrid ya Hispania katika mchezo wao wa ligi kuu Hispania dhidi ya Sporting Gijon huku wakiwa wamevaa jezi zinazoangaza.

Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kijerumani ya Adidas, zimetengenezwa kwa kuyeyushwa plastiki laini iliyotokana na chupa zilizokuwa zimetupwa katika bahari ya Hindi, jezi moja inaripotiwa imetengenezwa kwa kutumia chupa 28.

Real Madrid na Adidas wametoa sababu ya kufanya hivyo huku wakishirikiana Parley ambao ni wanaharakati na utunzaji wa mazingira kama sehemu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa kuacha kuharibu vyanzo vya maji.