Michael Carrick amekamilisha utumishi wake Wa zaidi ya miaka 16 katika klabu ya Manchester United na sasa ameamua kuondoka katika klabu hiyo Dakika chache baada ya Manchester United kuibuka na ushindi Wa bao 3-2 dhidi ya Arsenal.
Carrick ndiye aliyeachiwa timu baada ya Ole Kuondoka na ameiongoza United katika michezo mitatu akishinda michezo miwili na kutoka sare mmoja.
United sasa itakua chini ya kocha mpya Wa muda Ralf Rangnick ambaye ataanza kazi rasmi dhidi ya Crystal Palace Jumapili.
Baada ya kudumu miaka 15 ndani ya Manchester United akiwa kama mchezaji na kocha, hatimaye Michael Carrick anaondoka klabuni hapo.
✅ Amefuzu hatua ya 16 bora ya Uefa Champions League msimu huu
✅ Ametoa sare na Vinara wa EPL, Chelsea
✅ Anawapiga Arsenal mabao 3-2 na kufanya timu ishinde dhidi ya washika bunduki kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2019. Ambapo walicheza michezo 6 na kugawa mara3, ila jana kai adhibu na kunyakuwa sifa tele
Mechi tatu za historia akiwa kama kocha
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire