Hapa na Pale 30/08/2025


 Unasikiliza kipindi cha : "HAPA NA PALE" Ni kipindi kinacho kupa fursa ya kusikiliza Qaswida na kujuwa yanayo jiri kwenye tasniya ya Qaswida kwenye jumuiya ya EAST AFRICA ( Afrika Mashariki ) Kipindi hiki kinapeperushwa kila siku ya Ijumaa Mossi kwenye studio za: Chief Medi
 

🎧 Hapa na Pale

⬇️ Download

Post a Comment

Plus récente Plus ancienne