­

Google tag

jeudi 28 avril 2022

Nasser Din Al Nabi na kuigeuza Yanga kuwa hatari

Moja kati ya kitu kikubwa ambacho Mabingwa Kihistoria Ligi Kuu soka Tanzania Bara Young Africans Sports Club wamefanikiwa katika msimu wa 2021/2022 ni kumpata Kocha, Nasreddine Mohammed Nabi.


Nabi ameleta mabadiliko makubwa sana ndani ya kikosi cha Yanga na ameifanya timu hiyo kuwa yenye ushindani wa kweli kunako Ligi Kuu soka Tanzania Bara, bila kumung'unya maneno, uwepo wake Jangwani kumeleta ugumu kwa timu nyingine kupata alama tatu zinapokutana na Wananchi hao.

Yanga ya Nabi imekuwa ya moto kweli kweli msimu huu, kukutana na Yanga hii lazima uwe umejipanga hasa, kama kwenye benchi yupo Mtunisia huyu.


Uhitaji elimu ya Chuo Kikuu 'PHD, Masters, wala Degree' kuona ubora wa Prof. Nabi ndani ya Yanga bali 'Statistics' (takwimu) zake za kutisha zinatosha kuona umuhimu wake kwa Young Africans Sports Club.

Aprili 20, 2021 Young Africans ilimtambulisha, Nasreddine Mohammed Nabi kuwa Kocha Mkuu kwa kandarasi ya Mwaka mmoja na Nusu akipokea kijiti cha Cedric Kaze.


Na hizi ni takwimu za Yanga msimu huu chini ya Kocha, Nabi amesimamia jumla ya michezo 46.

Ameshinda Michezo 33

Amefungwa Michezo 4

Sare Michezo 9

Magoli yakufunga jumla 72

Magoli ya kufungwa 23 na Clean Sheet 25, hizi ni takwimu za mashindano yote NBC, FA, CECAFA, KIMATAIFA, MAPINDUZI NA KIRAFIKI.

NBC PREMIER LEAGUE MSIMU HUU KAIONGOZA YANGA MICHEZO 20

Ameshinda Michezo 17

Ametoa Sare Michezo 3

Magoli yakufunga jumla 35

Magoli yakufungwa 6, goal difference 29 na Clean Sheet mechi 14.

AZAM SPORTS FEDERATION CUP MICHEZO 4

Ameshinda Michezo 3

Ametoa Sare Michezo 1

Magoli yakufunga jumla 35

Magoli yakufungwa 2, Clean Sheet 2

MAPINDUZI CUP MICHEZO 3

Ameshinda Michezo 2

Ametoa Sare Michezo 1

KAGAME CUP MICHEZO 3

Ametoa Sare Michezo 2

Amefungwa Michezo 1

CAF Mechi mbili na zote amefungwa

MECHI ZA KIRAFIKI MICHEZO 13

Ameshinda Michezo 11

Amefungwa Michezo 1 (Zanaco)

Ametoa Sare Michezo 1

Magoli yakufunga jumla 22

Magoli yakufungwa 9, Clea Sheet michezo 6.

samedi 23 avril 2022

World cup 2002


Kwenye mashindano ya Kombe la dunia yaliyofanyika mwaka 2002 Korea 🇰🇷/Japan 🇯🇵, kundi "F" lililokuwa na mataifa ya Argentina🇦🇷, Nigeria🇳🇬, England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 na Sweden🇸🇪 liliitwa kundi la kifo (Group of Death)


Matokeo yalikuwa hivi:-

🇦🇷Argentina 1-0 Nigeria 🇳🇬
🇦🇷 Argentina 0-1 England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
🇦🇷 Argentina 1-1 Sweden🇸🇪

Nigeria🇳🇬 0-1 Argentina 🇦🇷
Nigeria 🇳🇬 1-2 Sweden 🇸🇪
Nigeria 🇳🇬0-0 England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿England 1-1 Sweden🇸🇪
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England 1-0 Argentina 🇦🇷
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England 0-0 Nigeria🇳🇬

🇸🇪Sweden1-1 England🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
🇸🇪 Sweden 2-1 Nigeria 🇳🇬
🇸🇪 Sweden1-1 Argentina.🇦🇷

Sweden🇸🇪 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 zikafuzu kuingia hatua ya 16 bora zote zikiwa na alama 5 na tofauti ya goli 1 ya kufunga na kufungwa.

🇦🇷Argentina ilimaliza nafasi ya 3 ikiwa na alama 4 na tofauti ya magoli ya kufungwa na kufunga 0. 🇳🇬 Nigeria wakawa wa mwisho kwenye kundi kwa alama 1 huku wakiwa wanadaiwa magoli -2

🔸Ushindi mkubwa Kwenye hili Kundi ni wa Sweden 🇸🇪2-1 Nigeria 🇳🇬. Maana halisi ya Kundi la kifo😒

vendredi 22 avril 2022

Mama Samia Akutana na Baba wa Rihanna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Ronald Fenty Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty ambaye alifika katika ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour leo tarehe 21 Aprili, 2022.


jeudi 14 avril 2022

MAUNDA ZORO AFARIKI KWA AJALI YA GARI

MAUNDA ZORO AFARIKI KWA AJALI YA GARI 


mdogo wa msanii Banana zoro na mtoto wa msanii mzee zahiri zoro usiku wakuamkia alhamis ya Leo amepata ajali maeneo ya kigamboni huku gari Lake aina ya Toyota vits ikigonga lori la mchanga 


Tunatowa  pole kwa familia ya mzee Zahir zoro 

SOTE NI WAMUNGU NAKWAKE TUTAREJEA

samedi 9 avril 2022

Will Smith kufungiwa myaka 10

Mwigizaji Will Smith hatoruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Oscar kwa miaka 10 kutoka sasa ikiwa ni adhabu baada ya kumpiga kibao Mchekeshaji Chris Rock jukwaani wakati wa Tuzo hizo mwaka huu.


Bodi ya Tuzo hizo imetangaza kwamba kwa miaka hiyo 10 kuanzia Aprili 8, 2022, Smith hatoruhusiwa kuhudhuria hafla au programu zozote za Academy, yeye binafsi au hata kwa mtandao.


Baada ya marufuku hii ya miaka 10 Will Smith ameonesha kukubali adhabu aliyopewa kwa kuiambia CNN kwamba "ninakubali na kuheshimu uamuzi wa Academy" ambapo uamuzi huu umekuja kufuatia mijadala mingi baada ya kumpiga Chris kofi.

mercredi 6 avril 2022

Kama klabu yako huioni hapa basi jua klabu yako bado ni ndogo Africa

- Kama klabu yako huioni hapa basi jua klabu yako bado ni ndogo Africa !

Champions league trophies !
01. 🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆 =  Al Ahly 🇪🇬
02. 🏆🏆🏆🏆🏆 = TP Mazembe 🇨🇩
......🏆🏆🏆🏆🏆 = Zamalek 🇪🇬
03. 🏆🏆🏆🏆 = Esperance 🇹🇳
04. 🏆🏆🏆 = Raja Casablanca 🇲🇦
......🏆🏆🏆 = Canon Yaounde 🇨🇲
05. 🏆🏆 = Enyimba 🇳🇬
......🏆🏆 = JS Kabylie 🇩🇿
......🏆🏆 = Wydad Casablanca 🇲🇦
......🏆🏆 = Setif fc 🇩🇿
06. 🏆 = Es Sahel 🇹🇳
..... 🏆 = Club Africain 🇲🇦
......🏆 = Hearts of Oak 🇬🇭 
......🏆 = Union Douala 🇨🇲
......🏆 = FAR Rabat 🇲🇦
......🏆 = ASEC Mimosas 🇨🇮
......🏆 = Mamelodi Sundowns 🇿🇦
......🏆 = AS Vita club 🇨🇩
......🏆 = MC Algers 🇩🇿
......🏆 = CARA Brazzaville 🇨🇬
......🏆 = Orlando Pirates 🇿🇦


.
Confederations cup trophies !
01. 🏆🏆🏆 = Sfaxian 🇹🇳
02. 🏆🏆 = TP Mazembe 🇨🇩
......🏆🏆 = ES Sahel 🇹🇳
......🏆🏆 = Zamalek 🇪🇬
03. 🏆 = Heart of Oak 🇬🇭
......🏆 = Raja Casablanca 🇲🇦
......🏆 = RS Berkane 🇲🇦
......🏆 = FAR Rabat 🇲🇦
......🏆 = MAS Fez 🇲🇦
......🏆 = AC Leopard 🇨🇬 
......🏆 = Stade Malien 🇲🇱
......🏆 = Gor-mahia 🇰🇪


👆 Klabu zenye makombe ya (CAF)

Rostam Aziz Kuinunuwa Tigo

Billionaire Rostam Aziz akishirikiana na kampuni ya AXIAN GROUP, wamezinunua kampuni za simu TIGO na ZANTEL.


.
Rostam kuanzia sasa anakuwa Mwenyeki wa kampuni mama ya TIGO Tanzania.

dimanche 3 avril 2022

Tuzo za muziki Tanzania 🏆

Tuzo za muziki Tanzania 🏆

Harmonize ameshinda tuzo tatu.
1. Msanii bora wa kiume wa mwaka.
2. Mtumbuizaji bora wa kiume wa mwaka.
3. 'Attitude' Collabo bora ya Africa.


Amesema kwa heshima ya kaka yake Diamond, anampa tuzo moja ili wote wawe na (2-2). Zingine amezi dedicate kwa Kajala !!


.
Ali Kiba ameshinda tuzo tano za mwaka !!l
1. Mwanamuziki bora Africa mashariki.
2. Msanii bora wa kiume chaguo la watu.
3. 'Only 1 king' Album bora ya mwaka.
4. 'Salute' Video bora ya mwaka.
5. Mtunzi bora wa melody.

.
Marioo ameshinda tuzo tatu.
1. Msanii bora wa kiume 'Bongo fleva'
2. 'Bia tamu' wimbo bora wa mwaka.
3. 'Loyalty' collabo bora ya mwaka.


Nandy ameshinda tuzo tatu
1. Msanii bora wa kike chaguo la watu.
2. Msanii bora wa kike 'Bongo fleva'
3. 'Loyalty' Collabo bora ya mwaka


.
Davido msanii bora Afrrica ya Magharibi.
Sho Madjoz msanii bora Africa kusini.
.
.
Sholo mwamba ameshinda tuzo tatu.
1. Msanii bora wa mwaka wa Singeli.
2. Wimbo bora wa mwaka wa asili.
3. Wimbo bora wa mwaka wa Singeli
.
.
Snura msanii bora wa kike 'Singeli'
.
.
Young Lunya ameshinda tuzo mbili
1. 'Mbuzi' Wimbo bora wa 'Hiphop'
2. Msanii bora wa mwaka wa 'Hiphop'


.
Baddest ameshinda tuzo mbili
1. Msanii bora wa Raggae & Dancehall
2. 'Unaota' Wimbo bora wa Dancehall


Chemical msanii bora wa kike 'Hiphop'
.
.
Rapcha msanii bora chipukizi.


.
S2Kizzy producer bora wa 'Hiphop'
Hanscana muandaaji bora wa Video
Mr T touches producer bora 'Bongo fleva'
.
.
Professor Jay mtunzi bora wa mwaka.



samedi 2 avril 2022

The fate of Italy and Algeria

🇮🇹 Italy not qualified for the 2018 World Cup. ❌
🇩🇿 Algeria not qualified for the 2018 World Cup. ❌


🇮🇹 Italy wins the Euro 2021. 🏆
🇩🇿 Algeria wins the CAN 2019. 🏆

🇮🇹 Italy sets a world record of unbeaten. ✅
🇩🇿 Algeria sets a record of unbeaten in Africa. ✅

🇮🇹 Italy not qualified for the 2022 World Cup. ❌
🇩🇿 Algeria not qualified for the 2022 World Cup. ❌

The fate of Italy and Algeria has been linked since 2018 😳🇮🇹🇩🇿

Louis Suarez kukutana na Ghana kwa mara nyingine

Takribani miaka (12) imepita sasa


Myaka imepita mingi tu tangu Luis Suarez 🇺🇾 awalize Waafrica wengi kwa kuudaka mpira uliokuwa unatinga kimiani ambao ungepelekea Ghana 🇬🇭 iwe timu ya kwanza ya Kiafrika kufuzu nusu fainali kwenye kombe la Dunia.



Sasa ni rasmi Wamekutana tena kwenye kundi (H)

🇵🇹 Portugal
🇬🇭 Ghana.
🇺🇾 Uruguay
🇰🇵 Korea Republic