Google tag

samedi 29 mars 2014

HIVI NDIVYO BONGO MOVIE WALIVYOSHEREHEKEA BETHIDEI YAO

Shilole katika picha ya pozi kwenye zulia jekundu ‘red carpet’.
Shamsa Ford akihojiwa kwenye zulia jekundu.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Unity wakiingia ukumbini.
Sandra (kushoto) na Eshe Buheti wakiwa kwenye zulia jekundu.
Wasanii na mashabiki wao wakicheza muziki.
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ akizungumza machache mbele ya watu waliohudhuria.
Steve Nyerere akikata keki.
Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwa wasanii wa Kundi la Bongo Movie Unity waliokuwa wakisherehekea kundi hilo kutimiza miaka mitatu tangu lilipoanzishwa.
Sherehe za kumbukumbu hiyo zilifanyika kwenye Ukumbi wa Arcade, Mikocheni jijini Dar ambapo wasanii walianza kwa kupiga picha kwenye zulia jekundu ‘red carpet’ na watu kibao waliohudhuria.
Kwa upande wa burudani ya muziki, wanamuziki Linex, Amini, Pendo wa Maisha Plus, Shilole, Bendi ya Fm Academia na Bendi ya BM walitoa burudani ya aina yake na kusababisha ukumbi wote kulipuka kwa shangwe.

J Moe / Juma Nature & Professor Jay - JWTZ 1


J Moe / Juma Nature & Professor Jay - JWTZ

Ni Director wa kwanza bongo wa Music Videoz kupata access ya vifaru,
ndege, helicopter pia sare za jeshi kufanyia music video

I believe kwa Kumtanguliza Mungu kila kitu kinawezekana

"After all, I believe that legends and myths are largely made of
'truth', and indeed present aspects of it that can only be received in
this mode; and long ago certain truths and modes of this kind were
discovered and must always reappear."

Directed, Edited By: Mike Mwakatundu as Director M

Under Williamz Visions Co Limited

All rights Reserved Under Copyright And Neighboring Right Act, only
for personal entertainment, not for sale or public performance.

Hope Ya'll going to have fun.

Like to share?