Google tag

mardi 11 août 2020

Areola kubaki PSG

🚨OFFICIAL: Real Madrid imethibitisha kuwa, Alphonse Areola msimu ujao ataendelea kusalia katika klabu ya Paris Saint-Germain  kwa mkopo baada ya kutumia msimu uliopita 2019/20 pia kwa mkopo katika klabu hiyo.


Manchester United na penalti

Mashetani wekundu, klabu ya Manchester United msimu huu wamepewa jumla ya penati  21 katika mashindano yote. 

Imekuwa ni klabu ya Kwanza katika ligi tano bora  barani ulaya kupewa penati nyingi zaidi katika msimu mmoja.